Hekima itakayokusaidia kuolewa mapema - Linda Penzi Lako

Breaking

Pages

Jumapili, 14 Novemba 2021

Hekima itakayokusaidia kuolewa mapema

Kama ndoto zako ni kuolewa na mwanaume wa ndoto zako basi unatakiwa kujifunza kuwa lugha nzuri kwa watu wanaokuzunguka. 

Unatakiwa kuwa na lugha nzuri kwa sababu wapo baadhi ya watu humtasfiri mtu kutokana na kile amabacho unakizungumza. 

Wanaume wengi hushusha thamani ya mwanamke hususani suala la mwanamke huyu kutamka matusi mengi kwenye kinywa chake. 

Hivyo ikiwa una nia njema ya kutaka kuolewa unapaswa kuwa na heshima sana hususani kwenye suala la uzungumzaji. 

Ijenge thamani zaidi kwa kuzungumza lugha yenye kukujengenea taswira chanya kwa wale wanakusikiliza.  

Jifunze kuwa mnyenyekevu kwenye suala la kuzungumza, lugha yako nzuri ndiyo itakayowafanya watu wengine waone thamani yako. 

Na: Benson Chonya. 








Maoni 1 :

  1. Baada ya miaka 2 ya kutengana, sasa tumeunganishwa tena kwa furaha! Mimi ni Judith Kamau kutoka Eldoret, kenya. Kwa miaka 4 niliishi katika ndoa yenye unyanyasaji, lakini baada ya kusoma ushuhuda kadhaa kuhusu Dk John katika makala mtandaoni. Niliamua kuwasiliana naye kwa spell maalum. Nilishangaa aliponiambia kwa usahihi matatizo yangu yote ya zamani na ya sasa na alinifunulia kuwa mume wangu alikuwa kwenye uhusiano na mwanamke mwingine. Dokta John alisema kuwa atanisaidia kumtenganisha yule mwanamke mwingine na mume wangu, nilifuata maelekezo yote aliyonipa na akafanya uchawi maalum uliotuunganisha mimi na mume wangu. Leo tunaishi pamoja kwa furaha.
    Unaweza kuwasiliana naye kupitia njia hii ili kupata suluhu la uhusiano wako au matatizo ya ndoa yako:

    Barua pepe:doctorjohn909@gmail.com.

    JibuFuta